Posted on: September 18th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya DL Group, Ndugu Dr. David Langat, pamoja na viongozi wa wafanyabiashara kutoka mkoa wa Njombe.
...
Posted on: September 17th, 2025
Njombe, Septemba 17, 2025 – Mkoa wa Njombe umefanya kikao cha tathmini ya utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT–MMMAM), ambayo inatekelezwa ka...
Posted on: September 15th, 2025
Mafunzo ya mwongozo wa utoaji motisha kwa walimu yameanza kutolewa mkoani Njombe Septemba 15, 2025, yakiwa na lengo la kuongeza kiwango cha elimu kwa wanafunzi.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Wizara ...