Posted on: July 30th, 2020
Mkuu mpya wa mkoa wa Njombe, Mh. Mhandisi Mwita Marwa Rubirya akimkabidhi zawadi aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Njombe, Mh. Christopher Ole Sendeka kwa utumishi wake uliotukuka katika mkoa wa Njombe....
Posted on: July 30th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mh. Ruth Msafiri akikabidhi kitabu kitakatifu cha Biblia kwa Mkuu mpya wa mkoa wa Njombe, Mh. Mhandisi Mwita Marwa Rubirya kama ishara ya kumtanguliza Mungu katika utendaji w...
Posted on: July 30th, 2020
Mkuu mpya wa mkoa wa Njombe, Mh. Mhandisi Mwita Marwa Rubirya akipokea mfano wa hundi ya fedha yenye kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 5.3 zilizokusanywa katika zoezi la madeni kutoka vyama vya Ushi...