Posted on: August 4th, 2021
Katibu Tawala wa mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari akishiriki zoezi la kupata chanjo ya Uviko 19 lililofanyika tarehe 4 Agosti, 2021 katika hospitali ya Rufaa ya mkoa.
...
Posted on: August 4th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Rubirya akizindua zoezi la upataji chanjo ya Uviko 19 iliyofanyika tarehe 4 Agosti, 2021 katika hospitali ya Rufaa ya mkoa. Mkoa wa Njombe umepatiwa dozi 30,000 ...
Posted on: March 18th, 2021
OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE TUNATOA PONGEZI KWA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUWA RAIS WA SITA WA SERIKALI YA AWAMU YA SITA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA....