Posted on: October 2nd, 2024
Katika mwaka wa 2024, wananchi wa Njombe tuna nafasi adhimu ya kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ni wakati wetu wa kutumia haki yetu ya kidemokrasia kuchagua viongozi ambao wataongoza na...
Posted on: October 1st, 2024
Njombe
Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Shule, Mwalimu Monica Mpololo, ameongoza ukaguzi wa miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Mkoa wa Njombe chini ya Mpango wa Kuimarisha Elimu ...
Posted on: September 30th, 2024
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Y. Masauni, amefanya ziara katika mkoa wa Njombe ambapo alikagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa miundombinu ya kikosi cha Zimamoto na Polisi. Katika ziara hiyo, ...