Posted on: November 13th, 2023
KATIBU Tawala Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari amewataka watumishi wa taasisi za serikali kufanya kazi kwa bidii pamoja na kujitathimini katika utendaji wao.
Katibu tawala ametoa wito huo wakati aki...
Posted on: November 11th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ametoa rai kwa wafanyakazi wa makampuni na wazalishaji wa mbolea nchini kuepuka udanganyifu na uchakachuaji wa mbolea hali inayoumiza wakulima na kutia hasara Taif...
Posted on: November 7th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewataka viongozi wanawake wa Mkoa kuungana Kwa pamoja na kuwa mstari wa mbele kushughulika swala la udumavu Kwa uzito na uharaka kwasababu wananafasi...