Posted on: March 13th, 2020
Mmoja wa Walimu wa Shule ya Msingi Nindi wilayani Ludewa akifafanua masuala ya taaluma katika shule hiyo wakati alipokutana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mheshimiwa Christopher Ole Sendeka katika ziara z...
Posted on: March 13th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mheshimiwa Christopher Ole Sendeka akikagua ujenzi wa msingi wa darasa linalojengwa kupitia mradi wa Tasaf kwenye shule ya sekondari ya Chifu Kidulile wilayani Ludewa mkoani Nj...
Posted on: January 29th, 2020
Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Katarina Revocati akipokea funguo za gari aina ya Toyota Hilux kutoka kwa Moses Kway ambaye ni Afisa Program wa Shirika la Jhpiego baada ya shirika hilo kufika ofisini...