Posted on: July 15th, 2020
Picha ya kumbukumbu ya Mh. Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Prof. Dk. Ratlan Pardede pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama na viongozi wa Chama cha Biashara na Viwanda Tanzania (TCCIA) mkoa w...
Posted on: July 15th, 2020
Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mh. Prof. Dk. Ratlan Pardede akipokea vitabu vyenye maelezo ya fursa na uchumi wa mkoa wa Njombe kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Mh. Katarina Revocati al...
Posted on: July 22nd, 2020
Mkuu mpya wa mkoa wa Njombe Mh. Marwa Mwita Rubirya akipokewa na watumishi wa Sekretarieti ya mkoa wakati alipowasili kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Njombe. Pichani wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala...