1.UTANGULIZI
Sekta ya Uvuvi katika mkoa wa Njombe ni change kwani kwa kiasi kikubwa inategemea kuagiza samaki toka mikoa mingine. Uvuvi mdogo katika ziwa Nyasa na mabwawa yaliyopo yanatoa chini ya asilimia 5 ya mahitaji ya samaki mkoani.
2.MABWAWA YALIYOPO MKOANI NJOMBE
Katika mwaka 2018 / 2019 jumla ya kilo 16,567 zenye thamani ya shilingi 108,489,000 zilivunwa na kuuzwa.Mchanganuo umeonyeshwa kwenye jedwali.
HALMASHAURI
|
IDADI YA MABWAWA
|
MAVUNO/MWAKA(kg)
|
THAMANI
|
Mji Njombe
|
145
|
7,999
|
55,993,000
|
Njombe DC
|
-
|
|
0
|
Wanging’ombe
|
156
|
5,259
|
29,333,000/=
|
Makambako
|
135
|
3309
|
23,163,000
|
Ludewa
|
51
|
-
|
0
|
Makete
|
153
|
-
|
0
|
|
|
16,567
|
108,489,000
|
3.SAMAKI/DAGAA WALIOINGIZWA TOKA MIKOA MINGINE
Mkoa unapokea samaki na dagaa wenye uzito wa kilo 258,782 na thamani ya shilingi 1,917,628,000 toka Mikoa ya Iringa, Mwanza, na Kigoma. Mchanganuo umeoneshwa kwenye jedwali hapa chini.
HALMASHARI
|
SAMAKI WAKAVU(kg)
|
THAMANI(T. SH)
|
WABICHI (kg)
|
THAMANI(T.SH.)
|
DAGAA (kg)
|
THAMANI(T.SH)
|
Mji Njombe
|
32,741
|
261,928,000
|
97,727
|
684,089,000
|
3,576,410
|
28,611,280,000
|
Njombe DC
|
4,763
|
38,104,000
|
2340
|
16,380,000
|
436
|
3,488,000
|
Wanging’ombe
|
12,674
|
101,392,000
|
5,765
|
40,355,000
|
867
|
6,936,000
|
Makambako
|
26,188
|
209,504,000
|
25,967
|
181,769,000
|
1,460
|
11,680,000
|
Ludewa
|
12,768
|
102,144,000
|
3,655
|
25,585,000
|
6,897
|
55,176,000
|
Makete
|
3,784
|
30,272,000
|
17,174
|
120,218,000
|
0
|
0
|
JUMLA
|
92,918
|
743,344,000
|
152,628
|
1,068,396,000
|
3,586,070
|
28,688,560,000
|
NB Bei ya wastani kwa samaki wakavi ilikuwa sh. 8,000 kwa kilo moja, wabichi ilikuwa shilingi 7,000/kg, na dagaa ilikuwa shilingi 8,000/kg.
4.USHAURI KWA WAFUGAJI WA SAMAKI
Jumla ya wafugaji 425( ke 125 , me 300) na vikundi 5 walipewa ushauri mbalimbali wa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa ikiwemo ulishaji, magonjwa na masoko.
5.CHANGAMOTO ZA SEKTA YA UVUVI.
(a) upungufu mkubwa wa watumishi. NB Mkoa una wataalamu 4 tu wa uvuvi waliopo katika halmashauri 2. Halmashauri 4 pamoja na Mkoa hauna wataalam hao.
(b)Vitendea kazi;- kutokana na upungufu wa bajeti na bajeti ndogo ya halmashauri wataalam wa uvuvi hawana vitendea kazi ikiwa ni pamoja na usafiri kama magari au pikipiki.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.