Posted on: December 25th, 2024
Njombe, Desemba 25, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, leo ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Njombe kuabudu katika Misa ya Pili iliyoongozwa na Askofu wa Jimbo hilo, Pa...
Posted on: December 25th, 2024
Tunawatakia Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya wenye mafanikio watumishi wote wa Mkoa wa Njombe na Watanzania wote kwa ujumla. Krismasi ni kipindi cha upendo, mshikamano, na kusherehekea amani. Tunapoelek...
Posted on: December 20th, 2024
Njombe, 20 Desemba 2024 - Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, ameonesha moyo wa huruma kwa kutembelea na kukabidhi zawadi mbalimbali kwa watoto yatima katika kituo cha kulelea watoto yatima ki...