Posted on: February 12th, 2022
Pichani Mkuu wa mkoa wa Njombe Mhandisi Marwa Rubirya akiwahutubia wananchi (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa zoezi la Mfumo wa Anuani za Makazi mkoani Njombe.
...
Posted on: January 21st, 2022
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Igwachanya wakati wa ziara yake ya kutembelea wilaya ya Wanging’ombe mkoa wa Njombe.
...
Posted on: January 15th, 2022
Pichani kikao cha Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bwana Gerson Msigwa akiongea na wakuu wa vitengo vya habari vya serikali (hawapo pichani) katika kikao kilichofanyik...