Posted on: November 3rd, 2019
Rais Dkt John Pombe Magufuli leo , Novemba 03, 2019 amemteua Ndugu Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof Mussa Assad.
Prof. Assad aliteu...
Posted on: October 30th, 2019
SEKRETARIETI ya Mkoa wa Njombe imeadhimisha siku ya Afya na Lishe ya Kijiji katika Kata ya Mahongole, Halmashauri ya Mji Makambako na kutoa rai kwa wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya lishe bora kw...
Posted on: October 28th, 2019
Wananchi katika Halmashauri nya Mji wa Njombe wametakiwa kujiunga na Bima ya Afya Iliyo boreshwa ili waweze kutibiwa bila kupata usumbufu wowote pindi watakapo kumbwa na magonjwa na hivyo ...