• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Mh.ANTHONY MTAKA AKUTANA NA VIONGOZI WA DL GROUP NA WAFANYABIASHARA WA MKOA WA NJOMBE

Posted on: September 18th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya DL Group, Ndugu Dr. David Langat, pamoja na viongozi wa wafanyabiashara kutoka mkoa wa Njombe.

Katika kikao hicho walihudhuriwa na wadau kutoka taasisi mbalimbali za mkoa, pamoja na vikundi vya uwakilishi kutoka kwa wanawake.

Kikao Hicho Kilijikita  katika kujadili fursa za uwekezaji katika viwanda, na namna ambavyo sekta hii itakavyoinua uchumi wa wananchi wa Njombe. Fursa za uwekezaji zilijikita katika zao la parachichi, chai, na viazi, ambapo kupitia uwekezaji katika viwanda vya usindikaji, kuna matumaini ya kuongeza mnyororo wa dhamani wa mazao haya na kuleta manufaa kwa wakulima na wajasiriamali wa eneo hili.

Mhe. Mtaka alisisitiza umuhimu wa kushirikiana na sekta binafsi ili kuleta maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi wa Njombe, huku akitaja kuwa uwekezaji huu utasaidia kuongeza ajira, kuboresha miundombinu, na kukuza sekta ya kilimo. Wadau walieleza matumaini yao kwamba hatua hizi zitakuza uchumi wa mkoa na kuboresha hali ya maisha ya wakazi wake.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MKUU WA MKOA WA NJOMBE AKUTANA NA TANESCO NA WAZALISHAJI WADOGO MKOANI NJOMBE

    September 26, 2025
  • MKUU WA MKOA WA NJOMBE ATOA WITO KUHUSU USIMAMIZI WA ZAO LA PARACHICHI

    September 25, 2025
  • WANANCHI NJOMBE KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA36

    September 21, 2025
  • Mh.ANTHONY MTAKA AKUTANA NA VIONGOZI WA DL GROUP NA WAFANYABIASHARA WA MKOA WA NJOMBE

    September 18, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.