
SERIKALI MKOANI NJOMBE YAMALIZA MGOGORO WA ARDHI.
Posted on: December 5th, 2023
Katibu Tawala Wilaya Njombe Bi Agatha Mhaiki amemuwakilishi Mkuu wa Mkoa Mh. Antony Mtaka kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu takribani miaka 10 katika eneo la Igaba lililopo kata ...