• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

WATUMISHI MKOA WA NJOMBE WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA NeST

Posted on: September 4th, 2023

Kaimu Katibu Tawala Msaidizi( Uchumi na Uzalishaji)  wa Mkoa wa Njombe Bw. Ayoub Mndeme amefungua mafunzo ya mfumo mpya wa manunuzi wa NATIONAL e-PROCUREMENT SYSTEM OF TANZANIA (NeST) kwa wataalam 36 kutoka katika Halmashauri zote za Mkoa wa Njombe huku akizitaka Taaasisi zote za Serikali kutumia mfumo huu pale tu utakapoanza rasmi kwa sababu Zaidi ya asilimia 70% ya fedha ya Serikali zinatumika katika shughuli za maendeleo kwa kufanya Azinatumika vizuri kwa kutumia mfumo wa manunuzi wa NeST ili kuleta maendeleo kwa wananchi wake.

Aidha wakati akifungua mafunzo haya ameishukuru PPRA kwa kuwezesha mafunzo haya ya mfumo mpya wa NeST ambao unatarajia kuanza tarehe 1 octoba 2023. Pia amesisitiza washiriki wa mafunzo haya, kutekeleza kwa vitendo ili nao wakawe wakufunzi kwenye maeneo yao na kuhakikisha Mkoa na Halmashauri zote zinatumia mfumo huo kikamilifu ili kuepuka Maafisa Masuuli kupigwa faini kwa kushindwa kutumia mfumo huu.

Mndeme amesema kuwa matumizi ya Mfumo huo mpya, taratibu zote za manunuzi zitafanywa kwenye Mfumo ikiwa na maana kuanzia uandaaji wa mahitaji ya Idara, Uanzishaji wa Tenda, Uthamini, Utoaji wa Tenda na Majadiliano,

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.