• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. MTAKA AMEMSHUKURU NAIBU WAZIRI MKUU KWA KUFANYA ZIARA MKOANI NJOMBE

Posted on: February 22nd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka amemashukuru Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia  ni Waziri wa Nishati,  Mhe. Doto Biteko kwa kufanya ziara ya kikazi ndani ya mkoa wa njombe kwa siku 2 iliyoanza tarehe 21 Februari 2024 na kumalizika leo tarehe 22 Februari 2024.

Wakati akizungumza na wananchi  wa Wilaya ya Makete mara baada ya kukagua eneo  linatarajiwa kujengwa Bwawa la Kufua umeme, katika Kijiji cha Madihani, Kata ya Kipagalo, Mhe. Biteko amewapongeza wananchi wa wilaya hiyo kwa utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji, ambavyo vimepelekea mto Lumakali kuendelea kutiririsha maji ya kutosha.

Katika hatua nyingine Mhe. Doto Biteko amesema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekusudia kwa dhati kutekeleza mradi huo wa uzalishaji wa umeme, kutokana na ukubwa wake, sambamba na umuhimu wa kuondoa upungufu wa Nishati hiyo hapa nchini ambapo mradi huo  wa umeme wa Lumakali utachukua zaidi ya miezi 60 hadi kukamilika kwake utaenda kuongeza  megawati zaidi ya 200 katika gridi ya Taifa na kupunguza kabisa shida ya upungufu wa umeme.

Naye  Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Antony Mtaka amesema kuwa,  serikali  inatekeleza miradi mingi ya kimaendeleo kwenye mkoa wa Njombe ikiwemo huo wa umeme,  hivyo wananchi waendelee kuiunga mkono Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwasihi wazazi kuwapeleka watoto shule kwakuwa Mhe. Samia amewekeza katika elimu, ambayo ndio Urithi pekee wa Mtoto.

Mara baada ya kukamilisha ziara yake mkoani Njombe Mhe. Biteko ameendelea na ziara yake Mkoani Iringa na hapo Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi (CCM) Ndugu Deo Sanga alipata nafasi ya kumshukuru Mhe. Biteko kwa kufanya ziara mkoani njombe na akamuahidi kuwa, wao kama chama wanaendelea kusimamia na kuhakikisha ilani ya Chama chama Mapinduzi inaendelea kutekelezwa.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.