• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MBIO ZA MWENGE WA UHURU YARIDHISHWA NA MIRADI YA NJOMBE MJI

Posted on: April 26th, 2023

Mwenge wa Uhuru umeendelea kukimbizwa mkoani Njombe ambapo  umetembelea miradi mabalimbali ya kimaendeleo katika Halmashauri ya Njombe Mji.

Akizungumza baada ya kutembelea miradi kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdallah Shaibu Kaim ameonyeshwa kuridhishwa na miradi hiyo na kuwataka wananchi kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Ndugu Abdallah Shaibu Kaim akikagua madawati katika moja ya madarasa manne yaliyojengwa katika Shule ya Msingi Luponde.

Muonekano wa Mashine ya X Ray katika kituo cha Afya cha Ihalula kilichopo katika Kata ya Utalingolo 

Wananchi wa Kata ya Utalingolo wakimsikiliza Ujumbe wa Mbio za Mwenge 2023 kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2023 Ndugu Abdallah Shaibu Kaim.

Mwanafunzi wa Kidato cha Pili Lucia Petro Katika Shule ya Sekondari Matola akiwa anapokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkimbiza Mwenge.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • DR. MICHAEL HAULE WA NM-AIST AMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA NJOMBE.

    June 25, 2025
  • MWEKEZAJI NEIL GOODTILLERE WA BROWNS PLANTATION AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA NJOMBE.

    June 25, 2025
  • MAFUNZO MAALUMU KWA MADEREVA WA TAASISI ZA SERIKALI YAENDELEA MKOANI NJOMBE.

    June 14, 2025
  • MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. ANTHONY MTAKA ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MZEE MONGELLA JIJINI DAR ES SALAAM.

    June 04, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.