• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

ZAIDI YA BILIONI 2 UJENZI WA BARABARA NJOMBE

Posted on: October 20th, 2022

Mikataba yenye thamani  zaidi ya  Bil. 22 ya ujenzi wa barabara Mkoa wa Njombe imesainiwa leo,ikiwa ni sehemu ya pili tangu mikataba hiyo kusainiwa Mkoani Dodoma Agosti 14, mwaka huu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Hayo yamebainishwa na Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) Mkoa wa Njombe,Mhandisi Gerald Matindi katika kikao cha utiaji saini mikataba ya matengenezo na ukarabati wa barabara na madaraja awamu ya pili kwa asilimia 40,kwa mwaka wa fedha 2022/2023,kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe.

Mhandisi Matindi amesema kuwa,lengo la kusaini mikataba hiyo kwa awamu ya pili ngazi ya Mkoa baada ya ngazi ya Taifa ni kuwapa umiliki wa miradi hiyo wananchi wa Mkoa wa Njombe ili waweze kupokea miradi ambayo toka miaka mitatu iliyopita imeongezeka kwa asilimia 37.

Amesema kuwa,kupitia mikataba hiyo TARURA kwa mwaka huu wa fedha itafanikiwa kukamilisha matengenezo ya barabara zenye jumla ya kilomita 1175.7,ambazo ni  kilomita 8.9 za barabara zenye kiwango cha lami, kilomita 735.99 zenye kiwango cha  changarawe na matengenezo ya kawaida kilomita 430 pamoja na ujenzi wa madaraja 41.

Mikataba 22 iliyosainiwa leo ni sehemu ya Mikataba 32 yenye asilimia 60 ya fedha zote zilitakiwa kutolewa katika mwaka huu wa fedha ambayo ilisainiwa Agosti 14,mwaka huu  Mkoani Dodoma.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.