1."Wazabuni na Watu wa Manunuzi kuweni makini katika kuhakikisha ubora wa vifaa unaendana na gharama lakini pia ubora baada ya mradi kukamilika"SHARIFA Y. NABALANG'ANYA
2. "Nitumie fursa hii kutoa tamko kwa Wazabuni wanaoomba kazi katika Halmashauri hii, Halmashauri Wilaya ya Njombe siyo jalala kama wamechukua kazi katika Halmashauri yetu ubora wa kazi hizo uendane na fedha tunayowalipa" SHARIFA Y. NABALANG'ANYA
3. "Kushuka kwa mapato kwa kipindi cha robo imechangiwa na kushuka kwa ushuru wa mbao, hivyo tupambane kuhakikisha vyanzo vya mwanzo vinasimamiwa ipasavyo na kuhakikisha kupata vyanzo vingine ili kukuza mapato ya Halmashauri
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.