Katika picha kushoto aliyesimama ni Mhe.Dr.Marry Mwanjelwa,Naibu Waziri Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,akizungumza na Mkuu wa Mkoa,Mhe.Ole Sendeka ofisini kwake juu ya ziara yake aliyoifanya Mkoani tarehe 25/01/2020,kufuatilia utekelezaji wa mkakati wa MKURABITA. Pichani katikati ni Mhe.Ole Sendeka,kushoto kwake ni Mhe.Ruth Msafiri ,Mkuu wa Wilaya ya Njombe,pembeni yake ni Bw.Joseph Mutashubilwa,Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Njombe.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.