Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dr Augustine Mahiga amesema haridhishwi na idadi ya usajili wa vifo vya marehemu nchini kwani mpaka sasa kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi yao ni asilimia 17.5 ndiyo waliosajiliwa.
Amesema hayo katika kikao cha tathimini ya zoezi la usajili wa vifo kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe kuwa ni vyemaa watanzania wakajenga utamaduni wa kusajili vifo vinavyotokea kwa ndugu zao kuliko kuacha.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.