Posted on: April 24th, 2024
Mhe. Anthony Mtaka ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, leo tarehe 24 Aprili2024 amefanya ziara na kukagua Miradi ya Maendeleo ili kujiridhisha na hali halisi iliyopo.
Ziara hiyo ya kikazi imefanyika ...
Posted on: April 24th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka ameongoza kikao cha wadau wa elimu wa Mkoa wa Njombe kikihusisha Halmashauri 6 za Mkoa huo Kikiwa na Madhumuni ya Kufanya tafakuri ya Elimu na Kuweka Mikakati...
Posted on: April 24th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omary ametoa wito kwa wataalamu wa Afya kahakikisha wanaimarisha huduma ya Chanjo ya HPV na Kutoa majibu ya Kitaaluma ili Kuepusha Taarifa za Upotoshaji.
...