Katibu Tawala Mkoa wa Njombe anawatangizia wananchi wote kuwa Uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 umekamilika na matokeo yametangwazwa tarehe 14 Disemba 2022. Ili kuona majina ya Wanafunzi na Shule aliyopangiwa bofya hapa.
1. Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Vipaji Selected Form one - Special-Schools.pdf
2. Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Sekondari za Ufundi Kitaifa Selected Form one - Technical-schools.pdf
3. Wanafunzi waliochaguliwa Shule za Bweni Kitaifa Selected Form one - National-Boarding-Schools.pdf
4. Wanafunzi waliochaguliwa Shule Teule ndani ya Mkoa Selected Form one - Designated-Boarding-Schools.pdf
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.