• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

WAKAZI WA MJI NJOMBE WANUFAIKA NA UJIO WA MADAKTARI BINGWA

Posted on: May 7th, 2024

Wakazi wa Halmashauri ya mji Njombe wameendelea kupata huduma mbalimbali za Kibingwa na Bobezi kupitia Mpango Kabambe wa Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Suluhu Hassan unaoendelea katika maeneo mbalimbali nchini katika Afya ya Msingi.

Mpango huo wenye lengo la kusogeza huduma za Kibingwa karibu na wananchi pamoja  na kuwajengea uwezo wataalamu wa Afya ya msingi, umeingia katika siku yake ya Pili leo Mei 7 hapa katika Hospitali ya Halmashauri ya mji Njombe (Kibena) ikishuhudiwa huduma mbalimbali zikitolewa kwa wanufaika ikiwemo huduma za Kibingwa za Magonjwa ya Ndani, Upasuaji, Huduma za Bobezi za watoto wachanga, Huduma za Kibingwa za Magonjwa ya wanawake na uzazi, pamoja na uwepo wataalamu wa huduma  Ganzi na Usingizi.

Miongoni mwa wananchi walionufaika na huduma hizo za Kibingwa ni Grace Fungo, Mkazi wa Njombe, ambaye ameishukuru serikali kupitia Mhe. Rais kwa kuanzisha program hiyo ambayo imekuwa msaada mkubwa kwa wananchi ambao walihitaji kupata huduma hizo katika hospitali kubwa zaidi kama vile Muhimbili.

Akizungumza mapema leo Dkt. Ernestina Mwipopo Daktari Bingwa Mbobezi katika magonjwa ya watoto wachanga, akiwa pia ni msimamizi wa Jopo hilo la Madaktari Bingwa kwa  Halmashauri ya mji Njombe, amesema kumekuwa na mwitikio mkubwa wa wananchi katika kupima na kupata matibabu katika Hospitali hiyo.

Hapo jana akizindua mpango huo Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu, alisema kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepunguza idadi ya vifo vya akinamama wajawazito kwa asilimia 80, kutoka katika vifo 556 kati ya vizazi hai 100000 hadi vifo 104, kati ya vizazi hai 100000

Mpango huo kabambe unatarajiwa kufikia tamati mnamo Juni 28 mwaka huu kwa nchi nzima, huku kwa Mkoa wa Njombe ukitarajiwa kufanyika kwa siku tano, kuanzia hapo jana Mei 6 hadi Mei 10, 2024.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.