Tunawatakia Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya wenye mafanikio watumishi wote wa Mkoa wa Njombe na Watanzania wote kwa ujumla. Krismasi ni kipindi cha upendo, mshikamano, na kusherehekea amani. Tunapoelekea mwaka mpya, ni wakati wa kutafakari mafanikio na changamoto za mwaka uliopita huku tukijipanga kwa malengo mapya kwa ari na matumaini.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.