• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MKUU WA MKOA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA KERO NA KUTATUA KATIKA MJI WA MAKAMBAKO

Posted on: December 18th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka  amefanya mkutano uliotambuliwa kwa kauli mbiu isemayo FUNGA MWAKA BILA KERO katika Halmashauri ya Mji wa Makambako ambapo hapo amesikiliza kero kutoka kwa wananchi wa Makambako na maeneo mengine ya jirani.Akiwa katika viwanja vya Stendi ya zamani ya mabasi ya Makambako, amewaasa watumishi wa serikali kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea badala yake watambue kuwa wao wanawajibu wa kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa nafasi zao.

Mhe. Anthony Mtaka amewaeleza wajasiriamali waliokuwa wakichukizwa na baadhi ya watumishi kwenye maeneo hayo kwa kuwazuia kufanya biashara zao sasa wanapaswa kuendelea kufanya biashara zao bila kubughudhiwa na mtu yeyote na badala yake waruhusiwe kufanya biashara zao  masaa 24 na  kuzingatia sheria za nchi.

Aidha, katika kuelekea mwaka  mpya wa masomo 2024/2025 amewataka wazazi na walezi kuwaandikisha elimu ya awali watoto wote wenye umri unaotakiwa  kuanza kusoma na amesisitiza kuwa, kila mtoto aliyepangiwa kuanza kidato cha kwanza ndani ya Mkoa wa Njombe ifikapo Januari 2024 anapaswa  kuanza mosomo yake bila kisingizio chochote cha kushindwa kumpeleka mtoto shule.

Sambamba na hayo Mh  Mtaka  amewahakikishia wananchi kuwa, serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Daktari Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwa kuendelea kutenga fedha nyingi za maendeleo katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Makambako hivyo hawana budi kuiunga mkono serikali.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.