• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MAFUNZO MAALUMU KWA MADEREVA WA TAASISI ZA SERIKALI YAENDELEA MKOANI NJOMBE.

Posted on: June 14th, 2025
  • Njombe, Juni 14, 2025 — Mafunzo maalumu kwa madereva wa taasisi zote za serikali katika Mkoa wa Njombe yanaendelea kufanyika muda huu katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, yakilenga kuwaongezea ujuzi, maarifa na kuwajengea uelewa kuhusu wajibu wao kazini.


Mafunzo hayo yameandaliwa na Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) mkoa wa Njombe, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa serikali kuhakikisha madereva wake wanazingatia sheria, taratibu na miongozo ya usalama barabarani sambamba na kudumisha maadili ya kazi.


Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, mmoja wa wakufunzi kutoka TEMESA Mhandisi Charles Mbogolo ambaye ni Meneja Ufundi na Matengenezo, amesema kuwa mafunzo haya ni ya muhimu kwani mbali na kuongeza ufanisi, pia yanasaidia kuimarisha usalama wa abiria, watumiaji wa barabara na vyombo vya usafiri vinavyomilikiwa na serikali.


"Mafunzo haya si ya kawaida. Ni mwendelezo wa juhudi za serikali kupitia TEMESA kuhakikisha kuwa kila dereva wa serikali anakuwa na uelewa mpana kuhusu sheria za usalama barabarani, namna ya kujilinda dhidi ya majanga kama moto, na pia kuwa na uelewa juu ya masuala muhimu ya kitaifa kama uhamiaji haramu na vita dhidi ya rushwa," alieleza.


Miongoni mwa mada zilizowasilishwa kwa madereva hao ni pamoja na:


Tahadhari dhidi ya moto kwenye magari na majengo,


Uhamiaji haramu na namna ya kushiriki katika udhibiti wake,


Rushwa na madhara yake katika utumishi wa umma,


Usalama barabarani na uzingatiaji wa sheria.

Madereva walioshiriki wameeleza kufurahishwa na mafunzo hayo wakisema yamekuja wakati muafaka, hasa kwa kuzingatia changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo katika kazi zao za kila siku.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MAFUNZO MAALUMU KWA MADEREVA WA TAASISI ZA SERIKALI YAENDELEA MKOANI NJOMBE.

    June 14, 2025
  • MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. ANTHONY MTAKA ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MZEE MONGELLA JIJINI DAR ES SALAAM.

    June 04, 2025
  • KATIBU TAWALA NJOMBE AONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANENANE.

    June 04, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE APOKEA MADAKTARI BINGWA 37 KWA AJILI YA HUDUMA ZA AFYA.

    May 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.