• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Kamishna Msaidizi Idara ya Kazi Atua Njombe kwa Ziara ya Kazi.

Posted on: November 21st, 2024


Kamishna Msaidizi wa Idara ya Kazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Andrew Mwaluisi, akiambatana na maafisa wengine, wametembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe leo, tarehe 21 Novemba 2024.Wamekuja Njombe kwa  Ziara ya siku mbili  kwa lengo la kutoa elimu kwa waajiri juu ya uzingatiaji wa sheria za kazi, ushauri wa kuimarisha masuala ya ajira, na kuhakikisha haki za wafanyakazi zinalindwa.

Akizungumza wakati wa mapokezi yao, Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, aliwakaribisha na kusisitiza umuhimu wa ziara hiyo katika kuboresha mahusiano kazini. "Nawakaribisha sana hapa Njombe. Elimu mnayotoa ni ya muhimu sana kwa waajiri na wafanyakazi. Tunataka kuona mazingira ya kazi yanayozingatia sheria, haki za wafanyakazi zikiheshimiwa, na waajiri wakiongeza ufanisi katika shughuli zao," alisema Mhe. Mtaka.

Aidha, maafisa hao walieleza kuwa lengo kuu ni kupunguza malalamiko yanayotokana na ukiukwaji wa sheria za kazi. Pia walihimiza waajiri kuongeza tija kazini kwa kuzingatia kanuni za usimamizi bora, hali itakayosaidia kuboresha huduma kwa jamii na uchumi wa taifa kwa ujumla.


Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MKUU WA MKOA WA NJOMBE AKABIDHIWA KITABU CHA MALEZI YA WATOTO KILICHOANDIKWA NA BINTI WA KIDATO CHA PILI, VIVIAN FRANK KILASI.

    July 28, 2025
  • MAONESHO YA NANENANE – MBEYA 2025NJOMBE TUMESHAJIANDAA KIKAMILIFU.

    July 28, 2025
  • TASISI YA EMPOWER AFRICA YATEMBELEA MKUU WA MKOA WA NJOMBE, YADHAMIRIA KUIMARISHA ELIMU YA TEHAMA NA UJASIRIAMALI VYUONI.

    July 25, 2025
  • TMDA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI YAKABIDHI DAWA ZA ZAIDI YA MILIONI 6 GEREZA LA WILAYA YA NJOMBE.

    July 24, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.