Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi nchini mwaka 2022, Mhe. Spika Mstaafu Anne Makinda akizungumza wakati alipotembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe kupata maelezo ya maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022 kutoka kwa Katibu Tawala wa mkoa wa Njombe (kulia aliyekaa pichani) Bi. Judica Omari katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.