Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, amepongeza juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, katika kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vya kuongeza thamani ya mazao, hususan parachichi. Hayo aliyasema tarehe 24 Machi alipokuwa katika ziara mkoani Njombe.
"Tunashuhudia Njombe ya viwanda sasa, na hii ni alama kubwa sana ya maendeleo. Uwekezaji huu umefungua milango ya ajira kwa vijana wetu na kuinua uchumi wa wakulima. Ni mfano mzuri wa namna ambavyo mazingira rafiki ya uwekezaji yanavyoweza kuleta maendeleo ya haraka," alisema Prof. Mkumbo.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.