• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

VIJANA BALEHE WAJENGEWA UWEZO KUHUSU VVU NA UKIMWI MKOANI NJOMBE.

Posted on: January 28th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Mhe. Zakaria Mwansansu, akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, amekuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kujenga Uelewa wa Masuala ya VVU na UKIMWI kwa Vijana Balehe wa Shule za Msingi na Sekondari Mkoa wa Njombe.Kongamano hilo limewakutanisha wanafunzi kutoka Halmashauri ya Mji Njombe, Makambako, Wanging'ombe, pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Njombe.

Viongozi mbalimbali wa serikali walihudhuria, wakiwemo Mratibu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na uratibu Bi. Adella Mpina ambaye ni Mratibu wa Masuala Ukimwi, watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe wakiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa, Bi. Judica Omari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji kutoka TACAIDS Bi. Catherine Joachim pamoja na Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe, Ndg. Josaya Luoga.

Katika hotuba yake, Mhe. Zakaria Mwansansu aliipongeza serikali kwa juhudi zake za kufikia makundi yote ya rika balehe na aliwaasa wanafunzi na vijana kuwa makini katika kipindi cha makuzi ili kuepuka maambukizi mapya ya VVU na mimba za utotoni.

Alisema, "Vijana, tambueni kuwa maisha yenu ni dhamana kubwa. Epukeni vishawishi vinavyoweza kuhatarisha afya na mustakabali wenu. Jilindeni na maambukizi ya VVU kwa kuepuka ngono zembe na kujiepusha na tabia hatarishi."

Katika moja ya hotuba zake kuhusu mapambano dhidi ya UKIMWI, Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, aliwahi kusema, "Takwimu za maambukizi mapya ya VVU zinaonesha kwamba asilimia 40 ya maambukizi mapya yanatokea kwa vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 24. Hii inaonesha umuhimu wa kuwalinda vijana wetu dhidi ya maambukizi haya."

Katika Mbio za Mwenge wa Uhuru za mwaka 2024, moja ya jumbe za kudumu kwenye kipengele cha Ukimwi ilikuwa "Jamii iongoze kutokomeza UKIMWI," ikisisitiza ushiriki wa jamii katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.