• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

Rais Samia amekata utepe kuzindua magari 50 kati ya 200

Posted on: September 30th, 2022

Rais Samia leo amekata utepe kuzindua magari 50 kati ya 200 ya Maafisa Elimu Sekondari nchini na pikipiki 50 kati ya 517 za Maafisa Lishe kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa Huduma za Afya Msingi na Elimu Sekondari kwenye Mamlaka  za Serikali za Mitaa nchini.

Rais Samia amezindua magari hayo leo wakati akishiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Usimamizi wa Shughuli za Lishe na tathmini ya sita (6) ya Mkataba wa Lishe uliofanyika Ukumbi wa Jiji la Dodoma - Mtumba, leo tarehe 30 Septemba 2022.

“Vifaa vyote vina thamani ya Tsh. Bil 94.4, nilikuwa nanong’ona na  Waziri wa Afya, nikawa namwambia tupige break kidogo kwenye

ujengaji wa vituo hasa kwenye kata, tujielekeze zaidi kwenye kumalizia Zahanati lakini tujielekeze sanaa kwenye kuimarisha huduma kwenye vituo vya kata kwa kuhakikisha vifaa tiba na vingine vinapatikana na Watumishi wanakuwepo katika maeneo hayo ikiwa ni pamoja na nyumba za Watumishi, nahisi haya yatasaidia kuliko kuendelea kujenga kujenga”

“Watakaopata vifaa hivi twende tukasimamie matunzo, sitovumilia kusikia miezi sita mwaka mmoja kifaa hakina kazi kimekaa pembeni, aliyeagiza atanieleza na Mtumiaji atanieleza”

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • PROF. MUKANDALA AONGOZA VIONGOZI KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA KAMPASI YA UDOM MKOANI NJOMBE.

    May 17, 2025
  • MPANGO WA NJOMBE KUPUNGUZA UDUMAVU WAZINDULIWA RASMI.

    May 17, 2025
  • KAMATI YA USALAMA YA MKOA WA NJOMBE YAMPA POLE KAMISHNA MWANDAMIZI WA UHAMIAJI FELISTA SANGA KUFUATIA MSIBA WA MUMEWE.

    May 17, 2025
  • MKUU WA MKOA WA NJOMBE MHE. ANTHONY MTAKA AKUTANA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA KANJI LALJI, AMKARIBISHA KUWEKEZA MKOANI NJOMBE KATIKA KILIMO CHA KAHAWA.

    May 17, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.