• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MWENGE WA UHURU WAANZA KUKIMBIZWA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE.

Posted on: June 17th, 2024

Na. Chrispin Kalinga - Njombe

Ikiwa ni siku ya pili tangu Mwenge wa Uhuru 2024 uanze kukimbizwa Mkoani Njombe Juni 17, 2024 Umeanza kuiangazia miradi mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Mji Njombe ukitokea Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa na umepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Kissa Gwakisa Kasongwa Katika kata ya Matola ,Kijiji cha Boimanda.

Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Halmashauri ya Mji Njombe umepitia miradi 6 na shughuli 2 ,shughuli 1 ikiwa ni ukaguzi wa klabu ya kupambana na Rushwa na Shughuli nyingine ni uzinduzi wa wimbo wa uhamasishaji wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kwa upande wa miradi  Mwenge wa Uhuru umezindua miradi 3 na kukagua miradi 3.

Katika kata ya Matola Mwenge wa Uhuru umezindua vyumba 3 vya Madarasa ya Shule ya Msingi boimanda na Ofisi 1 ya Walimu vyenye thamani ya jumla ya shilingi 97,050,552.00

Ukiwa kata ya Uwemba Mwenge wa Uhuru  Umekagua  Msitu wa  asili wa  Isililo wenye ukubwa wa hekta 58.8 na thamani ya shilingi 189,229,000.00

Ukiwa kata ya Yakobi Mwenge wa Uhuru umekagua shamba la parachichi la mwekezaji Frank Msuya lenye ukubwa wa ekari 200 ambalo uwekezaji wake ni shilingi billioni 1.

Katika kata ya Mjimwema  Mwenge wa Uhuru umefanya  uzinduzi wa kituo cha mafuta cha Amoil ambacho uwekezaji wake ni zaidi ya millioni 721,083,707.00 na  kata ya Njombe Mjini Mwenge wa Uhuru umefanya Ukaguzi wa kikundi cha vijana cha Sungura Njombe (SUNJO) ambao ni wanufaika wa mikopo inayotolewa na Halmashauri ambacho mpaka sasa kikundi kimefikia thamani ya shilingi millioni 30.

Na katika kata ya Ramadhani  Mwenge wa Uhuru Umezindua jengo la mama na mtoto katika hospitali ya Mji Njombe (Kibena) ambalo limejengwa kwa shilingi milioni 173 ,167,000.00

Kauli mbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2024 inasema "Tunza mazingira na shiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa Ujenzi wa Taifa Endelevu".

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.