• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MKAKATI WA KUTANGAZA UTALII KUSINI WAZINDILIWA

Posted on: September 26th, 2022

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Balozi Dkt. Pindi Chana amezindua  Mikakati miwili (2) ya Kutangaza Utalii Kanda ya  Kusini inayotekelezwa kupitia Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) katika hafla iliyofanyika mkoani Njombe.


Mhe.Balozi Dkt.Pindi Chana amebainisha kuwa  katika kufungua utalii mwaka 2017 Serikali ilianzisha Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) kwa lengo la kupanua wigo wa mazao ya utalii kijiografia kwa kuendeleza Sekta ya Utalii katika mikoa ya Kusini.


Waziri Balozi Dkt. Chana amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa ya kuibeba sekta ya Utalii nchini si tu kwa Filamu ya The Royal Tour bali kupitia miradi na programu mbalimbali za kimkakati ukiwemo REGROW.


Katika uzinduzi huo, Mhe Balozi Dkt. Chana ameongeza  kuwa Mikakati hiyo miwili imeainisha hatua mbalimbali ziyaakazochukuwa ili kuchochea ukuaji wa shughuli za utalii katika Mikoa ya Kusini ikiwemo Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma, Rukwa, Katavi, Mtwara, Lindi, Songwe, Mbeya, na Morogoro.


"Ni matarajio yetu kuwa, utekelezaji wa Mikakati hii utaongeza idadi ya watalii wanaotembelea ukanda huu hivyo kunufaika na faida zitokanazo na shughuli za utalii ikiwemo ongezeko la ajira na fursa za uwekezaji,  mapato ya Serikali na mapato ya mwananchi mmoja mmoja". Amesema Waziri Balozi Dkt. Chana


Uzinduzi wa Mikakati hiyo ulioambatana na maonesho ya shughuli za Taasisi za umma na binafsi,  umehudhuriwa na Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania, Wakuu wa Mikoa ya Kanda ya Kusini,  Taasisi za umma na binafsi, Wadau mbalimbali, Viongozi wa Kisasa, Viongozi wa Dini, Wazee wa Mila, Viongozi mbalimbali na wananchi.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.