• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

MHE. ANTHONY MTAKA AMEFANYA ZIARA YA KIZAZI WILAYA YA WANGING'OMBE

Posted on: May 5th, 2024

Kampeni ya Lishe inaendelea ndani ya Mkoa wa Njombe na Mei 02,2024 Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka  ameendelea na Ziara ya Kukagua utekelezaji wa Afua za Lishe katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe ambapo huko ametembelea Mradi wa Shamba Darasa Imara na Ustadi (SADIFU), Mashamba darasa ya Kilimo na biashara (FFBS) pamoja na Bustani zilizoandaliwa katika maeneo ya Shule za msingi kama sehemu ya Wananchi na shule za msingi kujifunza. Pia  Mhe Mtaka ametembelea Shule za Msingi ambazo zilifikiwa na Mradi wa SADIFU  unaotekelezwa na Shirika la Care international in Tanzania  wenye lengo la  Uhamasishaji kwa kutoa elimu ya uzingatiaji wa usalama wa chakula na  Lishe bora.


Akizungumza mbele ya Wananchi na Wanafunzi katika vijiji vitatu alivyotembelea Mhe. Anthony Mtaka katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe amewataka wazazi na walezi kuendelea kuzingatia Lishe Bora ili kuondokana na Udumavu kwenye Maeneo yote ya Mkoa wa Njombe.


Kwa Upande Mratibu  wa Mradi wa SADIFU kutoka  Care international in Tanzania  Bi. Liliani Mkusa amemshukuru Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwa kutembelea mradi huo  huku akiongeza kwa kusema kuwa wao kama Shirika wanaendelea kuboresha mradi waao wanaoutekeleza Mkoani Njombe haswa kuunga  Mkono Mikakati ya Kupambana na Udumavu Mkoani Njombe.


Katika Hatua nyingine Mkuu wa Mkoa wa Njombe alitembelea na kukagua mradi unaotekelezwa kwenye Shule ya Msingi Matowo wa Ujenzi wa Madara mawili.

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASILI MKOANI NJOMBE KWA SHANGWE.

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA MTAKA AWAPONGEZA NA KUWAPA HAMASA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA MKOANI NJOMBE.

    April 29, 2025
  • MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI YA TASAF AMEANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI NJOMBE.

    April 28, 2025
  • HERI YA SIKU YA MUUNGANO.

    April 26, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.