Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. Dk. Angela Mabula akizindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Njombe Juni 26, mwaka huu. Kushoto pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mh. Ruth Msafiri na kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Mh. Katarina Revocati wakishuhudia tukio hilo.
Njombe Nearby Ruhuji River
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 0262782912/13
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.