Posted on: May 26th, 2025
Njombe, Mei 26, 2025 – Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omary, amewapokea rasmi madaktari bingwa 37 watakaotoa huduma za afya katika halmashauri sita za mkoa.
Madaktari hao bingwa wa Mhe...
Posted on: May 23rd, 2025
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Maafisa Habari Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Seriksali za Mitaa kuhakikisha wananchi wanapata habari sahihi za utek...
Posted on: May 22nd, 2025
Baada ya kumaliza mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, timu ya wawekezaji kutoka Kampuni ya Ovolio Industries Ltd ya nchini Uganda ikiongozwa na Ndg. Omar Ababneh ilikutana ...