Posted on: November 3rd, 2024
Wananjombe, tarehe 27 Novemba 2024 ni siku ya kipekee kwetu! Huu ni wakati wa kusimama pamoja na kuonyesha nguvu ya sauti zetu kwa kuchagua viongozi wa karibu watakaoleta maendeleo katika mitaa na vij...
Posted on: November 3rd, 2024
Mkoa wa Njombe unajiandaa kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024. Uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa wananchi kuimarisha ushiriki wao katika maamuzi y...
Posted on: October 22nd, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, leo amewatakia heri wanafunzi wote wa Darasa la Nne ambao wanatarajia kuanza mitihani yao siku ya kesho, Oktoba 23, 2024. Katika salamu zake, Mhe. Mtaka ame...