Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi nchini mwaka 2022, Mhe. Spika Mstaafu Anne Makinda akipata maelezo ya maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022 kutoka kwa Katibu Tawala wa mkoa wa Njombe (kushoto pichani) Bi. Judica Omari wakati alipotembelea ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika ziara ya kikazi mkoani Njombe.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.