Mkuu wa mkoa wa Njombe, Mhe.Anthony Mtaka tarehe 22 Januari 2024 amempokea Waziri wa Ujenzi, Mhe.Innocent Bashungwa aliyeanza ziara yakeya kikazi mkoni Njombe.
Katika ziara hiyo ametembelea barabara inayoendelea na utekelezwaji kutoka lsyonje hadi Kilindo na sehemu ya kitulo hadi Iniho inayojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 36.3.
Aidha, amemtaka mkandarasi kutoka nchini china mwenye kampuni inayojulikana kwa jina la China National Aero -Technoloy Intaernational Engineering Corpation kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kwa mujibu wa mkataba wao.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.