• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

UWT MKOA WA NJOMBE YAZINDUA KIWANDA CHA USINDIKAJI

Posted on: May 8th, 2023

 Jumuiya ya wanawake wa CCM Mkoa wa Njombe UWT imefanikiwa kuanzisha mradi wa utengenezaji sabuni,   utakaowawezesha kujiingizia kipato na kutoa ajira kwa vijana,aidha  wanawake wajasiriamali wapatao Ishirini na Tano kutoka Kata Tatu za mkoa wa NJOMBE wamehitimu mafunzo ya usindikaji wa sabuni za maji, unga na mche ikiwa ni hatua za awali za uanzishwaji wa kiwanda cha sabuni.

Katika zoezi la uzinduzi wa mradi huo ripoti iliyosomwa na katibu wa jumuiya hiyo Mkoa Bi. rehema Mbwana amesema hadi sasa wametumia kiasi cha shilingi milioni 10 kati ya milioni 30 zinazohitajika ili kukamilisha nradi huo.Aidha mwenyekiti wa jumuiya hiyo Mkoa wa Njombe Scholastika Kevela amesema kuanza kwa mradi huo ni fulsa kubwa katika kuwakomboa wanawake  wa UWT.

Akizindua mradi huo wa Mkoa wa Njombe Mh.Antony Mtaka amesema mradi huo utasaidia kuondokana na tabia  ya jumuiya za CCM kuomba omba fedha kwa wadau,katika hatua za awali mradi huo umeonyesha matumaini kwenye jumuiya hiyo kwani tayari wamewapa mafunzo ya utengenezaji wa sabuni hizo baadhi ya wanajumuiya Pamoja na vijana wengine.Shirika la kuhudumia Viwanda vidogo SIDO ndo limewezesha  mafunzo hayo ya usindikaji wa sabuni kwa wanawake wa UWT,Ikiwa ni hatua za awali za kujiandaa na ujenzi wa kiwanda cha usindikaji wa bidhaa hiyo.

Aidha Katibu wa CCM Julius Peter amesema mradi huo utaimarisha uchumi wa UWT huku wahitimu wakisema mafunzo yameongeza wigo katika kujitafutia kipato.Baada ya kupatiwa mafunzo hayo vikundi hivyo vinauwezo wa kuzalisha lita 25 za sabuni ya maji na vitakasa mikono, sabuni ya kipande miche Mia Tano na sabuni ya unga Kilo Elfu Moja kwa siku.

 

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI.

    May 23, 2025
  • KATIBU TAWALA WA MKOA WA NJOMBE AWAKARIBISHA RASMI WAWEKEZAJI WA KIWANDA CHA PARACHICHI NJOMBE.

    May 22, 2025
  • MKUU WA MKOA NJOMBE ATOA UHAKIKA WA USHIRIKIANO KWA WAWEKEZAJI WA KIWANDA CHA PARACHICHI.

    May 22, 2025
  • PROF. MUKANDALA AONGOZA VIONGOZI KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MKATABA WA UJENZI WA KAMPASI YA UDOM MKOANI NJOMBE.

    May 17, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.