• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
MKOA WA NJOMBE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government MKOA WA NJOMBE

  • Home
  • About Us
    • Historical Background
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections
      • Administration & HR Section
      • Local Government Section
      • Planning & Coordination Section
      • Economic & Production Section
      • Infrastructure Section
      • Education Section
      • Health Section
    • Units
      • Finance & Accounts Unit
      • Internal Audit Unit
      • ICT Unit
      • Procurement & Supply Unit
      • Legal Unit
  • District
    • Njombe District
    • Wanging'ombe District
    • Makete District
    • Ludewa District
  • Councils
    • Njombe TC
    • Njombe DC
    • Wanging'ombe DC
    • Makete DC
    • Ludewa DC
    • Makambako Tc
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
      • Crop production
      • Livestock
      • Fisheries
      • Forestry
    • Tourism
    • Mining
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • ICT Services
    • Infrastructure Services
    • Water Services
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Laws
    • Forms
    • Strategic plan
    • Client Service Charter
  • Media Center

TAASISI ZA SERIKALI ZATAKIWA KUENDANA NA TEKNOLOJIA YA KISASA KATIKA MAONESHO YA NANENANE.

Posted on: August 6th, 2025

 Agosti 5, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, amezitaka taasisi za serikali zinazoshiriki maonesho ya Nanenane kuhakikisha zinakuwa na ubunifu wa teknolojia ya kisasa, ili kuendana na mabadiliko ya sayansi.

Akizungumza alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho hayo katika viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, Mhe. Mtaka alisema kuna haja ya taasisi sa serikaki kuachana na mazoea ya kuonesha vitu vya kizamani ambavyo havina tija kwa mkulima wa sasa.


"Taasisi za serikali zinapaswa kutoka kwenye mtazamo wa zamani na kuja kwa kisasa, tunahitaji kuona zikiwasilisha suluhisho la ubunifu na teknolojia zinazoendana na wakati huu  nasio  kurudia kila mwaka yale yale," alisema Mhe. Mtaka Mkuu wa Mkoa Njombe.


Aidha Mhe. Mtaka meongeza kuwa ni muhimu kwa taasisi hizo kuzingatia sera zinazolingana na Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050, ili kuhakikisha mchango wao unaendana na mwelekeo wa kitaifa wa kukuza uchumi wa kilimo, viwanda na teknolojia huku akizitaka taasisi zinazowasilisha zana na teknolojia za kilimo katika maonesho ya Nanenane kuhakikisha zinafanya tathmini sahihi ya maeneo husika kabla ya kupeleka teknolojia hizo.


 "Hatuwezi kupeleka teknolojia ya umwagiliaji wa matone sehemu yenye mvua nyingi au kupeleka trekta kubwa eneo la kilimo cha bustani ya familia. Tunahitaji uhalisia," alisisitiza Mhe. Mtaka


Maonesho ya Nanenane mwaka huu 2025 yameenda kwa kaulimbiu “chagua viongozi bora kwa maendeleo endelevu ya kilimo, mifugo na uvuvi 2025.”

Announcements

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2024MKOA WA NJOMBE January 08, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA May 10, 2023
  • TAARIFA YA UHAMISHO OFISI YA MKUU WA MKOA WA NJOMBE October 14, 2023
  • View All

Latest News

  • CHAMA CHA WAFANYAKAZI TUGHE MKOA WA NJOMBE KIMEFANYA KIKAO CHA KIKATIBA.

    August 11, 2025
  • MKOA WA NJOMBE UNAWATAKIA WATANZANIA HERI YA SIKUKUU YA NANENANE

    August 08, 2025
  • TAASISI ZA SERIKALI ZATAKIWA KUENDANA NA TEKNOLOJIA YA KISASA KATIKA MAONESHO YA NANENANE.

    August 06, 2025
  • NJOMBE INASHIRIKI KAMILIFU WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI 2025 NA KUZINGATIA MAKUNDI LENGWA NA MALENGO MAHUSUSI.

    August 01, 2025
  • View All

Video

Music
More Videos

Quick Links

  • Vivutio vya Utalii mkoani Njombe
  • Fursa za kilimo cha matunda aina ya maparachichi
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024/2025
  • Maktaba ya Picha
  • Maktaba ya Video

Related Links

  • Tovuti ya Temesa
  • Tovuti ya Tanroads
  • Tovuti ya Wizara ya Ujenzi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mtaa wa Lunyanywi

    Postal Address: P.O.Box 668-Njombe

    Telephone: 026 278 291 213

    Mobile:

    Email: ras@njombe.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.