Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka leo tarehe 09 Februari 2024 ameshiriki Mapokezi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda, aliyekuja mkoani Njombe kwa lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi lakini pia kusikiliza Kero kwa wananchi na kuzitafu ufumbuzi.
Ndugu Paul Makonda amewahutubia wananchi ya Mji wa Makambako, Wananchi wa Kata ya Mtwango lakini pia amewahutubia wananchi wa Njombe Mjini ambapo kesho tarehe 10 Februari ataendelea na ziara yake katika mkoa wa Njombe.
Mkutano huo umehudhuriwa na Maelfu ya Wanachi wa Mkoa wa Njombe pamoja na wakauu wa Divisheni na Vitengo.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.