#Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amesaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe ikiwa amekuja Mkoa wa Njombe kwa ziara ya siku moja yenye lengo la ufuatiliaji wa utekelezaji wa utafiti wa ustawi na afya ya watoto na Vijana Julai 05, 2024 ambapo hapo amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.