Uzinduzi wa Mpango Jumuishi na Harakishi wa Kupunguza Udumavu Mkoa wa Njombe 2024/25 – 2029/30 umefanyika kwa mafanikio, ukihusisha sekta mbalimbali zikiwemo afya, elimu, kilimo, maji na ustawi wa jamii. Mpango huu wenye lengo la kushughulikia udumavu kupitia hatua za pamoja na zinazolengwa kwa makundi maalum.
Mpango huu unalenga kupunguza udumavu kutoka asilimia 40 hadi 25 ndani ya miaka mitano kwa kushirikisha wadau wa ndani na nje ya mkoa. Kupitia ushirikiano wa sekta zote, huduma za lishe zitawafikia watoto, wajawazito na jamii kwa ujumla kwa usawa na kwa kuzingatia jinsia.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.