Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka amewapongeza watoto wa shule ya msingi walionesha uwezo wa kutoa elimu ya lishe katika uzinduzi wa kampeni ya udumavu wilayani Makete baada ya kueleza kwa ufasaha kuhusu namna mtoto anavyoweza kupata udumavu.
Wakizungumza watoto hao wamesema katika familia nyingi na wamekuwa wakila chakula cha makundi machache hasa wanga huku wazazi au walezi wao wakiwambia kikubwa kushiba.
Wanafunzi wao wamewaomba wazazi kuhakikisha wanawapa mlo kamili kwa kuchanganya vyakula vya makundi mbalimbali katika milo yao ili kuwa na afya njema na kuondokana na udumavu.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.