Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka ametoa salamu za pole kwa ndugu jamaa, marafiki na watanzania wote kwa msiba mzito wa watu 2 waliopoteza Maisha na mwingine mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyotokea Juni 28, 2024 usiku katika Wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe baada ya ajali ya Pikipiki.
Mhe. Mtaka ametoa salamu hizo za pole Juni 29, 2024 mara baada ya kuwasili eneo la tukio na kisha akazungumza na wananchi kuhusu vifo vya ndugu hao 2.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.