Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka ameongoza kikao cha wadau wa elimu wa Mkoa wa Njombe kikihusisha Halmashauri 6 za Mkoa huo Kikiwa na Madhumuni ya Kufanya tafakuri ya Elimu na Kuweka Mikakati na maazimio ambayo yatasaidia Kufanya Vizuri Katika Sekta ya Elimu.
Kikao hicho kilijumusha wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Elimu Pamoja na Wadau Wengine wa Elimu.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.