Bi. Judica Omari, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, akimkabidhi Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, zawadi mbalimbali mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku sita Oktoba 06 2024 katika mkoa wa Njombe.
Ziara hii ilihusisha ukaguzi wa miradi ya elimu, afya, Barabara na Maji.
Mhe. Mkenda alikubali zawadi hizo kwa furaha, "Ninashukuru kwa zawadi hizi, na nitaendelea kufanya kazi kwa pamoja na viongozi wa mkoa ili kuhakikisha malengo yetu yanatimizwa," alisema Mhe. Mkenda.
Ziara hii ilimalizika kwa mafanikio makubwa, huku ikionesha dhamira ya pamoja katika kuleta maendeleo katika Mkoa wa Njombe.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.