Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari akiwakilishwa na Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Njombe Bw. Lewis Mnyambwa amekuwa mgeni rasmi katika kikao kazi cha Wamiliki na Wasimamizi wa Famasi na Maduka ya Dawa za Binadamu na maduka ya Dawa za Mifugo kutoka Mkoa wa Njombe kilichofanyika tarehe 23 Februari 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Milimani Hotel.
Kikao hicho kimelenga kuwajengea uwezo na uelewa wataalamu wanaosimamia udhibiti wa bidhaa hizo katika maeneo yao yenye lengo la kuboresha Mifumo ya Manunuzi, Uhifadhi na Usambazaji.
Aidha, Wakufunzi kutoka TMDA wakiongozwa Bi. Anitha Mshighati ambaye ni Meneja wa TMDA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.