Katibu Tawala Mkoa wa Njombe, Bi. Judica Omari, tarehe 15 Februari 2024 amezindua kampeni ya chanjo ya surua na Rubella Mkoani Njombe uliofanyika kwenye Zahanati ya Mji Mwema iliyopo kata ya Mji Mwema, Halmashauri ya Mji Njombe.
Katika Uzinduzi huo Bi. Judica ameitaka jamii kuhakikisha watoto wote wenye umri chini ya miaka 5 na wasiopungua miezi 9 wanapatiwa chanjo hiyo iyakayowakinga na ungonjwa wa surua na Rubella ambapo malengo ya Mkoa katika kampeni hiyo ni kuchanja watoto 94,343
Mtaa wa Lunyanywi
Postal Address: P.O.Box 668-Njombe
Telephone: 026 278 291 213
Mobile:
Email: ras@njombe.go.tz
Copyright ©2019 GWF . All rights reserved.